Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Wee pa bhana, masuala ya kuji fanya fundi wa kupika huya wezi.Acha basi.
Nani toto π¬π¬π¬π¬π¬π¬
Pamoja sana Mzee, futeni meza yangu vumbi Leo natia timuπ€Karibu lindoni mkuu
Pengo lako Mr. Poor Brain alilikava vizuriPamoja sana Mzee, futeni meza yangu vumbi Leo natia timuπ€
Sasa ulipotoka ndo nilipo.Sizungumzii nilipotoka, nazungumzia nilipo π
Mambo hayo tumwachie Analyse tuuuWee pa bhana, masuala ya kuji fanya fundi wa kupika huya wezi.
Juzi nime acha gesi iko wazi aiseeπ
Pambana na hali yako πSasa ulipotoka ndo nilipo.
Toa ushirikiano bila shuruti mkuu
πππππππππ
huyo Analyse asikutishe, ni mwizi mwenzio chamani π€π€£π€£Sasa ulipotoka ndo nilipo.
Toa ushirikiano bila shuruti mkuu
πππππππππ
Hovyo kabisa ππππPambana na hali yako π
Kusemaje hujui kupika wewe ππππMimi nahusikaje? π π
AikoooooooooooooooooooooYeeee......
Kufa basi kama hutaki salamu yenguπ
Aikoooo
Mjep em njoo mara moja nikuambie kitu kipenzπAikooooooooooooooooooooo
Salam yako nzito sana kuipokea peke yangu nashindwa naomba niwaalike kampani To yeye Hope urassa mchangamke sasa au mmepata chakuvaa Idd?
Mwenyekiti kampuni ilishambuliwa sana na huyu albin Half american lakini 2ic nipo ngangaliNasikia illegitimate son of mine, ana lalamika nili mtukania mama akeπ€
Mimi Huwa sivifanyii mambo mengi napikaga kiswahili
Huyo nusu albinoo Half american, hana tofauti na pundamilia tyππ€Mwenyekiti kampuni ilishambuliwa sana na huyu albin Half american lakini 2ic nipo ngangali
Toto zuri, kupika una jua, Tabia nzuri, sijui huwa una nikataa kwanini ππ AaliyyahMimi Huwa sivifanyii mambo mengi napikaga kiswahili
MAHITAJI
Viazi vitamu
Iriki iliyosagwa
Nazi pakti 1
Chumvi
JINSI YA KUPIKA
Menya Viazi kata vipande unavyopenda
Osha vizuri,weka kwenye ye sufuria weka majji hakikisha majji hayazid wingiwa viaz
Weka chumvi kidogo na iriki
Bandika jikoni acha vichemke Hadi maji yakauke
Weka Tui la Nazi acha ichemke vizuri
Ipua tayar Kwa kula
NB usigeuze geuze na mwiko vitapondeka
Poor Brain
Nimefika tayari sweetheartMjep em njoo mara moja nikuambie kitu kipenzπ
Dear albin Half american As I told you! Don't dwell in that comfort zone!! my condolence to you and your crew. My mwenyekiti he is a wrongdoer, So You are just a little baby gangππππHuyo nusu albinoo Half american, hana tofauti na pundamilia tyππ€