JamiiForums Usiku wa manane

 
Analyse
Intelligent businessman
Aaliyyah
Hapa bado uji wa muhogo naona kama unanishinda hvi yaan unapanda juu kama maziwa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Uji Sina utaalam nao ila nachojua unapikwa kawaida tu japo hautakiw ukoroge kwenye maji yakipata joto sana
Viungo pilipili manga
 
Sasa Mjep mambo unayofanya.
Unafanya niwe na wasi wasi na wewe na najua kabisa wewe sio mtu wa hovyo ila sasa unanipa wasi wasi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi siyo mtu wa hovyo kabisa chief
Ila uji nitamfundisha Aaliyyah kupika

Wewe tafuta wa kukufundisha
Mimi nimechagua mafunzo yangu ya uji ni kwa Aaliyyah

Wewe muombe hata Winnone akufundishe na yeye anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…