Babe weka akiba ya maneno.saiv hatendwi mtu hapa yan ni mimi na yeye mpka kiama[emoji847],,
Yaan kumteka ni simple sana mkuuAkikataa si tunamteka tu eti?
Nimetumia UMA weeee kutumia kibao sijui hapana hapana hapana...yaaan nimecheka uliposema unakwangua nazi na kijiko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].. nikajisemea kweli huy hamnazo kabisaa poor yu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaogopa swagalization sio....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ungetulia hapa hapa ungeona mbna ungekaa wewe
Usiniponze kama mashabiki wa Mandonga lakiniπππYaan kumteka ni simple sana mkuu
X+5=10 find X πππππππππ
Nimetumia UMA weeee kutumia kibao sijui hapana hapana hapana...
Naskia unaweza ota mkia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Babe weka akiba ya maneno.
Mi nipo single sana nakusubiri.
Usiniponze kama mashabiki wa Mandonga lakini[emoji2][emoji2][emoji2]
Penzi kama uyoga tu. Linajiotea popote mamaπbabe teina[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] mbona gafla hivyo
Basi babe kuwa na huruma nami.na atakuponza kweli alf yakishakukuta anamuita shangaz ake wanakaa pembeni unaanz kuchekwa hutoamini[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Penzi kama uyoga tu. Linajiotea popote mama[emoji2]
Hatari sana, nimekufa nimeoza hata sielewi Winnone mama.π₯°[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hili penzi ni firee alooo
Hatari sana, nimekufa nimeoza hata sielewi Winnone mama.[emoji3059]
Penzi lako ndio ufufuo na uzima.em fufuka haraka bro.[emoji23][emoji23]
Penzi lako ndio ufufuo na uzima.
Sitapona hata akija Gwajima.
Usifanye hiyana, utaniuwa mama.
Penzi si lele mama
Nimeshafika hatima
Winnone, unaumiza wangu mtima[emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Unajua kumbeππNitakufundisha
ππ