Hutaki pilau weweSasa huo mualiko au mpoteano?
Pilau ya kuangaliwa muonekano kwanza siitakiHutaki pilau wewe
hiyo ndo nzuri ili pewe kwa levo yako usije ukakufuruPilau ya kuangaliwa muonekano kwanza siitaki
Labda kama unamaanisha ile pilau nyingine.hiyo ndo nzuri ili pewe kwa levo yako usije ukakufuru
Wali kwa muislam, kwa mkristu haramu🤣😂𝐄𝐢𝐝 𝐌𝐮𝐛𝐚𝐫𝐚𝐤
Sijui niselfike 🤣😂, lazima ucheke kinyama 🤣😂Leo wanatumia smellproof kuzuia harufu isitoke nje na ikitoka inanukia ugali dona.
kuna mwenzako amechangamka tayari amefata maelekezo tupo anatengeneza salad hapaLabda kama unamaanisha ile pilau nyingine.
Halafu sisi watu wazima usiku tunaweza kuutengeneza tu, mambo mengine yakaendelea,Usiogope kucomment mchana kuna wenzetu wapo nje ya Tanzania ni usiku muda...ivo akishtuka toka usingizini na kucomment usimshangae🥴✌️✌️
Ndo Mana sipendi sikukuu yoyote, wako slow ka Kobe wa porini😂🤣🤣.kuna mwenzako amechangamka tayari amefata maelekezo tupo anatengeneza salad hapa
Ivo yaan 🤒Halafu sisi watu wazima usiku tunaweza kuutengeneza tu, mambo mengine yakaendelea,
Sina mchango ooote kwa bedui wa kataa ndoa mimi mxiiiie 😂🤣🤣.Ndo Mana sipendi sikukuu yoyote, wako slow ka Kobe wa porini😂🤣🤣.
Imagine nawa angalia kwa hasira tu, kazi yangu ni kutafuna nyama Mara 3 tatu😂🤣
Ko Mimi bedui wa kataa ndoa aisee🤣😂Sina mchango ooote kwa bedui wa kataa ndoa mimi mxiiiie 😂🤣🤣.
Katibu wao si ndo wewe?Ko Mimi bedui wa kataa ndoa aisee🤣😂
Naam niite katibu mwenezi wa Sera za kataa ndoa 😁Katibu wao si ndo wewe?
Anatengeneza? Kwani ni mwaliko au watafuta mpishi?kuna mwenzako amechangamka tayari amefata maelekezo tupo anatengeneza salad hapa
Selfika mkimbizi weweSijui niselfike 🤣😂, lazima ucheke kinyama 🤣😂