Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Hivi Fake P tukutane first time, niku ambie naomba namba ya baba ako Nina mazungumzo nae kuhusu wewe.what is kuonekana?, wanaume sa hivi nyoronyoro, hata nikikupa hints utaniaibisha tu
aisee we itakuwa mkenyaππ€£wanaume sa hivi nyoronyoro, hata nikikupa hints utaniaibisha tu
Sheeenziii wewe ..... ππππππYani unanikaribisha pamoja na Poor Brain ?
Itakuwa hapendi akili zakoππSheeenziii wewe ..... ππππππ
Ananitenga sana kuku huyo zKwani ndugu yangu Poor Brain ana shida ipi ππ
serious mnge kuja, inge nova SanaππAnanitenga sana kuku huyo z
Mi jana nilikua na kipindiii ππππserious mnge kuja, inge nova Sanaππ
Kipindi Cha uchawi au wiziππMi jana nilikua na kipindiii ππππ
Wizi kaka..ππππKipindi Cha uchawi au wiziππ
Nyota moja ndio officer jeshini ππhuyu officer anayekuita Afande wa zamu, ni Afisa Ugani au Kilimo? ππππ