Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
🤣🤣🤣 nimeshtuka ghafla usingizini nikaamka kuoga Kumbe ndo najimaliza☹️Naona to yeye leo eid unatoboa😊😊
UpoVp? ! Umeme uko upo ? Ama ni swala la kitaifa au Ni hapa hapa nilipo mimi?
Huwa sipend Giza
Ulipo Kuna umeme ?
Huku umekata nikajua mambo ya gridi ya TAIFA
🤣pole sanaHuku umekata nikajua mambo ya gridi ya TAIFA
Nimeona habar ya mafuriko Arusha (kisongo) Ni balaaa pole yao kwa kweli
Sipendagi GIZA umeme wenyewe hauna dalili ya kurudi
Untu nnyali...upo?0411Hrs
Thursday
11.04.2024
Umesha Rudi muda mrefu 😅🤣pole sana
Mkuu hana bayaNakuona bwana uchira 1 nilikua nasoma Uzi wako ukimuombea msamaha business intelligence 😊😊
Mkuu uliruhusiwa hospital na sasa unaendelea vizuri?Huku umekata nikajua mambo ya gridi ya TAIFA
Nimeona habar ya mafuriko Arusha (kisongo) Ni balaaa pole yao kwa kweli
Sipendagi GIZA umeme wenyewe hauna dalili ya kurudi