Ooh Kumbe?! Afu ukajikausha bila kunipa feedback....Umesha Rudi muda mrefu 😅
Basi ndio maana sikutokea 😅😂Sheeenziii wewe ..... 😁😁😁😋😋😋
Haiwezekani, mi akili kubwa sana (rich brain) siwezi changamana na watu wenye Poor BrainKwani ndugu yangu Poor Brain ana shida ipi 😂😂
Umelala na mtu ?kakipindi cha holiday haka tunalala na watu
mialiko ilitoka kedekedeHivi humu mlipeana mialiko ya pasaka na Eid au ni mistori tu kwenda mbele ?
Safi sanamialiko ilitoka kedekede
Umelala na mtu ?
Safi sana..hongera...ashukuriwe mama samiaNdio nilikua na usiku mzuri
Shukran sana mkuuKaribuni kwa anae jisikia kutembea na kuja kula au kuchangamsha meno.
Confidentiality ni muhimu usijali,so anyone out there una karibishwa kwa jobless pro max.
Manyanza, Aaliyyah, Nuzulati, Half american, Poor Brain, Fake P, fundi bishoo, Poor Brain, Selikavu, adriz, Dr am 4 real PhD
Aaah kwa hiyo ni leo😃Half american mbona nili karibisha wengi , hata kina Manyanza, Selikavu, Poor Brain toka Jana saa 6 usiku
Anaupiga mwingi sana mzaziSafi sana..hongera...ashukuriwe mama samia
Wee,usiniambie🥴kakipindi cha holiday haka tunalala na watu