JamiiForums Usiku wa manane

Karibuni dagaa na samaki wakuu, Nina Jamaa zangu huwa Wana kuja nitembelea home.

Sasa wame kuja Kama vita, kwanza wame Kaanga dagaa ndooo ndogoπŸ˜€πŸ€£.
Samaki wame ungwa na nyanya chungu za kutosha.

Huo ugali ni vitasa🀣🀣🀣, nipo napiga na maziwa, story kwa wingi.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kama hakuna nazi achana na mimi
 
Mnaalikana wali samaki usiku huu nyiewanaume?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Khaaa kasema ugali...
Weee ant mbona unataka kukuza mambo jamni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Kwanza ushamaliza kunaniliuuuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…