Nyakisesee2
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 232
- 382
Usiku ni wakati sahii. Mchana kuna usumbufu sana kwenye kulala. Na ndoto za mchana huwa si murua kabsa.Hakuna namnà na iwe hivyo Tu kwamba kulala isiwe mazoea kwa kuwa ni usiku Bali kulala iwe Tu kwa kuwa mwili umegoma kuwa macho
Mi binafsi usingizi utakapoangukia haijalishi ni mchana wa makelele njozi zinakubali tuUsiku ni wakati sahii. Mchana kuna usumbufu sana kwenye kulala. Na ndoto za mchana huwa si murua kabsa.
Poapoa✊🏽
Kumbe na wewe upo macho muda huu 3:15Poapoa✊🏽
Umekosa usingizi saizi au unajiandaa na ibada bibie.0400
La pili ndo jibu babueUmekosa usingizi saizi au unajiandaa na ibada bibie.
Unaenda kule kule KKKT? fanya unipitie.La pili ndo jibu babue