I miss ya my Troublemaker, Tehteh LMG ikikohoa unaweza kupata na period kabisa1:39 markswoman. hubby LMG full loaded
Bado Nina hasira na wewe wala usiniambie habari za LMG wala fyoko fyoko ndo nini kunifanyia vileI miss ya my Troublemaker, Tehteh LMG ikikohoa unaweza kupata na period kabisa
Hello bro 00:28 nimekatiza mitaa hii baada ya kitambo kirefu. Ur missed thou
Kusema ukweli, I feel quite good, kusikia namisiwa na marafiki zangu.Hello bro 00:28 nimekatiza mitaa hii baada ya kitambo kirefu. Ur missed thou
We utakuwa mlinzi kila usiku upo macho,ππ
Mbona mechi haitakuwepo kina timu wachezaji karibu wote wana udhuruWana jamii forum wangapi tunakutana kwa mkapa kwenye mechi ya watani wa jadi
0118Hrs
Kwema kabisa kaka, Huku mambo ni muswano0118Hrs
Kwema Brother
Mimi jobless pro max tu mkuu, hayo masuala ya ulinzi labda hapa jukwaani ππWe utakuwa mlinzi kila usiku upo macho,ππ