Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Vipi we kwako SI una jambia ππ
Endelea kuwepo maana hakuna utakachokifurahia kengine usiku huu zaidi ya kubaki lindoniLeo nimechoka ila usingizi hauji π
Kijana upo? Leo nimepakumbuka nyumbani kidogoIntelli style
Nipo kila siku- mkuu, jana nime fubga lindo mwenyewe.Kijana upo? Leo nimepakumbuka nyumbani kidogo
Kampuni kabisa ya ulinzi tumaiajiri, sasa sijui na hizi mvua walinzi walienda kujificha? Au ndio hivyo tena usiku wa manane walilala
Majukumu ya kazi yanazidi kuongezeka. Muda wa kutumia simu unazidi pungua. Leo tutakua pamoja mkuu
Kuna mguu wa kuku πVipi we kwako SI una jambia ππ