JamiiForums Usiku wa manane

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hongera sana Popo unayepata halftime na unanguvu unaweza kushika simu mwee! natafutaga hiyo chance nakosa wallah nikiwa uzalishaji viwandani.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Nasimama na mamaee
 
🀣🀣🀣Mmh Sheria za viwandani haziruhusu kushika simu,ila inabidi tu kuibia kungalia kama lindo liko salama
 
Intelli una oa lini, bado nipo nipo kwanza.
Una sema, bado nipo nipo sana 😁😁
 
Unachokitafuta utakipata, Big noo, phone right zea Aikoo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lindoni nikimuacha To yeye na mamchagaa Hope urassa napokea report nzuri tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Halafu Joannah mbona mida ya mimba, sisi ma jobless tusha kataa Hilo swala ,😁🀣.

Maana mambo ni mengi, imagine dell lioshwe saa 10, vianze kuchomwa saa 11 mwee🀣
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣Sasa Mr mbona mida ya kuumua mchanganyiko,wewe Ulikuwa umelala fofofo?jobless unalala Kwa usingizi Gani?
 
Taifa tulijenge kwa kuchapa kazi sio kufanya hiyo tabia mbaya😎
 
Mie mwenyewe mjuba πŸ˜‚πŸ˜

basi tufanye jambazi..!!

Nimeshangaa Jana nakuta lindo wazi makomredi Mmelala fofofo 😁

🀣🀣🀣siku ambayo mlinzi amepata nafuu na kurudi kazini anasumbua kweliπŸ™„

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hongera sana Popo unayepata halftime na unanguvu unaweza kushika simu mwee! natafutaga hiyo chance nakosa wallah nikiwa uzalishaji viwandani.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Nasimama na mamaee

Intelli una oa lini, bado nipo nipo kwanza.
Una sema, bado nipo nipo sana 😁😁
Huu uzi zamani tuliutendea haki sisi wakongwe wa usiku wa manane. Ilikuwa ikifika alfajiri tunafunga geti tunahamia pengine. Ila nyie mmekuja hapa kuharibu mantiki ya huu uzi mnapiga kelele zenu tu huko kulana kimasihara na ujinga mwingine.

Sheenz, malparida.

Maghayo We ni umbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…