🤣🤣🤣🤣Dah SUA walaumiwe wanabadilsha sana mbegu za mazao na wanyama wakaka wakila zinawaletea hormonal disorderAnalo analo, ni la kwake🤣🤣🤣, hatuwezi kuwa na jinsia mwanaume mwenye wivu kiasi hichi nchini🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kitaalam sana hii, miaka Arobaini na kenda (in kabudis' voice) sijui itakuaje🤣🤣🤣🤣Dah SUA walaumiwe wanabadilsha sana mbegu za mazao na wanyama wakaka wakila zinawaletea hormonal disorder
Hapo ndo ume ongea kitu Bomba, Nili ambiwa na maza siku moja.Ndoa ni nzuri ukimpata mnaeheshimiana ukiachia mbali kupendana
hebu acha kulumbana na watotoUnaona Sasa maluweluwe?jitahidi upate chochote
Maza ana akili....Heshima ni Kila kituHapo ndo ume ongea kitu Bomba, Nili ambiwa na maza siku moja.
Kupendwa haitoshi, ila uki heshimiwa ni zaidi ya upendo.
Kama ana kupenda, ila hakusikilizi, Hilo ni bomu.
Kama haku heshimu, Hilo ni bomu.
Last last kataa ndoa
Nimekuelewa Mzee mwenzanguhebu acha kulumbana na watoto
Uko panctual!safi sana comredi11:07 PM kwa hisani ya Yanga SC
Santo sana in dada yangu Mahondaw voice sisi ndio Yanga SC 💚💚💚💚💚💚💚💚💚🖤🖤Uko panctual!safi sana comredi
😁😂😂😂😁Oya tuishi humu, Kuna mambo ya msingi ya kuwaza😂🤒
View attachment 2969526