fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
Ndo shida ya kula makushabu π π€£, una type ka roboti la matope π€£wazee wa show
tulia wwππ sijamaliza kutoa salamuππNdo shida ya kula makushabu π π€£, una type ka roboti la matope π€£
Sijamla nashukuru kwa kuepuka kumla. Bi ile speed ya pombe ila baadae niliacha. Acha kuhukumu jinga wewebakabaka jau ww subiri mimba tu huna maana umejiaibisha
ππ unakula makushabu mkuu utapagawa ujueTulia arifu, maana una turushia stimu, watu tusha kula shada π
apo sawa ila jau umezngua mkuu ikiwezekana umuombe msamaha hujamtendea haki dadaanguSijamla nashukuru kwa kuepuka kumla. Bi ile speed ya pombe ila baadae niliacha. Acha kuhukumu jinga wewe
Sitamsemesha. Nikiomba msamaha nitatibua.. nimeshaamua kula kimnya. Na pili kurejea usiku sana. La maana sitarudia huu upuuz tenaapo sawa ila jau umezngua mkuu ikiwezekana umuombe msamaha hujamtendea haki dadaangu
Una Akili Sana, tuendelee kula makushabu ππ€£apo sawa ila jau umezngua mkuu ikiwezekana umuombe msamaha hujamtendea haki dadaangu
kabsa mkuu kula buyu tu kama huelewi pichaSitamsemesha. Nikiomba msamaha nitatibua.. nimeshaamua kula kimnya. Na pili kurejea usiku sana
ni mwendo wa kujifukiza mkuu kuna ganja kali mpka head inabustUna Akili Sana, tuendelee kula makushabu ππ€£
Nimefanya ujinga sana. Beki 3 nampendea jambo moja ananiheshm ila naona ndio baas tena. Heshima ishapaa lkn naahidi nitamuheshm zaidi na zaid ila sitamsemesha tena.kabsa mkuu kula buyu tu kama huelewi picha
magodoro yenyewe tume choma moto ππ€£Hamlali?