Umeeleweka nyumba kubwa, kumbe hadi ile ya beesmom?Huu mwaka watu wanaondoka balaa...tuwe makini na nyenendo zetu zisijezikawa ndiyo sababu...ajali ni bahati mbaya tu ila vingine vinaepukika wandugu
Yeah it’s me....ila ndiyo wameipa ban forever😩 nimebembeleza nimechoka kuifunguaUmeeleweka nyumba kubwa, kumbe hadi ile ya beesmom?
Tano huko tayariGame ya chess ni 🔥 🔥, gunesh ana kiwasha, hikaru ana poteza fainali.
nipo ana cheza ki masta, ding ana beba kwa zari.
Sijapenda ulivyonikubalia kirahisi wakati mi nimeuliza kindanindani 😩😩😩 why banned foreverYeah it’s me....ila ndiyo wameipa ban forever😩 nimebembeleza nimechoka kuifungua
Arteta Leo kaamua, Niko nacheki Hapa 🤣😂Tano huko tayari
Niliweka wazi nina ID mbili😩Sijapenda ulivyonikubalia kirahisi wakati mi nimeuliza kindanindani 😩😩😩 why banned forever
Ana hasira za UEFA. Chelsea na wao mbinu za the gunners zimewawia vigumuArteta Leo kaamua, Niko nacheki Hapa 🤣😂
Naona white ana elekea kupiga hat trick 🤣Ana hasira za UEFA. Chelsea na wao mbinu za the gunners zimewawia vigumu
Hata mimi sikusamehi, ila ile iko pambe kama sio wwNiliweka wazi nina ID mbili😩
Ile ndiyo To yeye ya kwanza....nikabbadili jina to Beesmom....nikaanzisha id mpya ya To yeye ambayo ndiyo hii ili jina langu lisichukuliwe ....ikawa kosa ikabebwa Beesmom....Hata mimi sikusamehi, ila ile iko pambe kama sio ww
Hat trick ya beki... Arsenal wapo moto sanaaNaona white ana elekea kupiga hat trick 🤣
ipumzike kwa amani beesmom mawazo yake yataishi daima kwa to yeye😩😩😩Ile ndiyo To yeye ya kwanza....nikabbadili jina to Beesmom....nikaanzisha id mpya ya To yeye ambayo ndiyo hii ili jina langu lisichukuliwe ....ikawa kosa ikabebwa Beesmom....
Ume sahau gunner ni sehemu ya silaha??, so moto Ume testiwa tu😂Hat trick ya beki... Arsenal wapo moto sanaa
Hizi ni salamu kwa TottenhamUme sahau gunner ni sehemu ya silaha??, so moto Ume testiwa tu😂
Yu mwema nyakati zoteMungu ni mwema sana