Tuko macho04:06
Amkeni amkeni amkeni
Sawa vzuriTuko macho
That is me everyday when leaving parking yard.
HiTuko macho
UpoNimekukosea nini jamaniππ
ππHii mvua kwa wasio na kazi wala majukumu inawafaa sana
Naunga mkono hojaKwa mji km dsm mvua hizi za wiki nzima , zinawatesa akina mama wajasiliamali wadogo na mikopo yao ya kausha damu
Yaani nawaonea huruma aisee..wengine unarudisha kila siku sasa huyu hajafungua siku 3 dahNaunga mkono hoja
Hahahahaha..hao kweli Mungu awatetee aisee...Na hizi mvua za dar es salaam, kama unafanya kazi na muhindi asee mungu akutetee. ππ
Nipo mkuu umeamkaje?
Nimeamka poa kabisa...tunaingia ktk mishe sasa ingawa hali ya hewa ya kwetu sio poa kbsNipo mkuu umeamkaje?