JamiiForums Usiku wa manane

CDF wa baadae
hivi lazima nifanye kampeni kabisa
Eti wewe wa jinsia yangu au wale wengine 🥴🥴
jinsi yako ni ipi JEIFU Wanawake ni wawili mg gwajima na bbi faiza 🥴🥴
Maana anatuvuruga tu humu walinzi wenzie
nimepaka rangi ya ugoro madevu
Hahahaaa aje aseme chaap
Siamini mimi, kweli ndugu yako ndio anakuteketeza 🥴🥴🥴🥴
Mie nasubiri hapa sitoki
Tumekubaliana jeefu wanawake ni wawili tu Dr Gwajima na Faiza, kaka mtu🥴🥴
 
Hahahahaha..hapo juu kabisa sio lzm kampeni..sifa na uwezo za kiutendaji zinahitajika..

Jeifu mko warembo wenye nidhamu ila kuwajua sasa ndio shida
 
Hahahaha Ebu toa jibu jepesi 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…