Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Kwamba na wewe atakukula?Fake P uje useme jinsia yako tafadhali
Maana unaweza niita kula kitimoto kwa flying fish nkajikuta na mi ni kitimoto mwee ntallia na naniπ
π³Hautarudi tena kwa kitunguu wako ππππ
Yaani kweli huyu mtu wa medani hata majibu tu anataka tupige kwataHahahaha Ebu toa jibu jepesi π
Ndo nmestuka Machale kunikabaKwamba na wewe atakukula?
Sifa zangu wataziona wapi, wakat watu wangu wa karibu mmeanza kunitilia mashakaπππHahahahaha..hapo juu kabisa sio lzm kampeni..sifa na uwezo za kiutendaji zinahitajika..
Jeifu mko warembo wenye nidhamu ila kuwajua sasa ndio shida
Ana majibu magumu @Yaani kweli huyu mtu wa medani hata majibu tu anataka tupige kwata
hizo medani wallah mnavyonipamba najichekea na wanajumuiya wenzangu, mimi nipo kwa jafo napanda miti tu dodomaπππYaani kweli huyu mtu wa medani hata majibu tu anataka tupige kwata
Hahahahaha..km tuko military academyAna majibu magumu @
π Eti una majibu ya kinyota nyotaSifa zangu wataziona wapi, wakat watu wangu wa karibu mmeanza kunitilia mashakaπππ
Nyota njema huwaza mapemahizo medani wallah mnavyonipamba najichekea na wanajumuiya wenzangu, mimi nipo kwa jafo napanda miti tu dodomaπππ
Zitafikishwa usihofu kamandaSifa zangu wataziona wapi, wakat watu wangu wa karibu mmeanza kunitilia mashakaπππ
Wewe ni mtu mkubwa sanahizo medani wallah mnavyonipamba najichekea na wanajumuiya wenzangu, mimi nipo kwa jafo napanda miti tu dodomaπππ
Tena sana..sio wakumuacha na kumuweka mbali
Please mfikishieni haraka nataka mrare mapemaZitafikishwa usihofu kamanda
Hahahahaa si mchezo CDF wa kikeKulikua na major general zawadi madawili..sasa tunaenda kuwa na cdf Fake P
Ni wa kuwa NAE karibu mnoTena sana..sio wakumuacha na kumuweka mbali
Mimi ndiyo nawajua wenyeweSi unaona mnajuana kabisa