JamiiForums Usiku wa manane

Demu unaeza muona nyota uki lala una muota, wahuni washa piga garagaza.

siku Ume muokota kakuona una sota una piga na picha una sambaza (damn)
 
Idadi ya watu wasio nikubali ime kuwa ndogo Sana, nahitaji wengine.
Wanao bana nawa taka wengine, hata wambea nahitaji wengine,

Maana zama zimesha badilika siku hizi tuna waza kivingine.
So ninge penda wachawi wengine, hata wanoko waje wengine.

Labda intelli Nita pata challenge pengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…