Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Ila wana arsenal tuna vurugu, toka tumfunge chelsea😂😆Hali ya hewa hii, halafu unalala pekee yako kama panga kwenye ala yake... Mateso 😂😄
Chelsea ni kikundi cha mchiriku ni kama 7 survivors ama jagwa 😂🤣Ila wana arsenal tuna vurugu, toka tumfunge chelsea😂😆
Kai wa kupiga goli 2 kweli 🤣 😆Chelsea ni kikundi cha mchiriku ni kama 7 survivors ama jagwa 😂🤣