Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
๐๐Kwani sahivi saa ngapi? Maana huu usingizi nahisi ni saa 9 usiku๐ขfinancial services uki reply hii comment saa hii, naku nunulia bucket ya kfc ๐๐
Hivi huwa unalala saa ngapi wewe ? Kha๐financial services hata Kama ni weekend, ndo ukorome Kama chura wa jangwani ๐ ๐
Saa saa 7 na nusu๐๐Kwani sahivi saa ngapi? Maana huu usingizi nahisi ni saa 9 usiku๐ข
Ngoja niisome kiswahili saa 7:30 usiku eeh, ndiyo maana nna usingizi mwingi๐Saa saa 7 na nusu
Eeeh endelea kulalaNgoja niisome kiswahili saa 7:30 usiku eeh, ndiyo maana nna usingizi mwingi๐
Roho mbaya umeanza lini mkuu, niendelee kulala nikose pesa nife ๐Eeeh endelea kulala
Hahahahaha..si umesema una usingizi mzito ? Sasa kama una usingizi na leo jpili , lala tuRoho mbaya umeanza lini mkuu, niendelee kulala nikose pesa nife ๐
muda ni ule ule mbona๐Hivi huwa unalala saa ngapi wewe ? Kha๐
una tafuta visingizio๐, ndo ime Isha hiyo๐๐๐Kwani sahivi saa ngapi? Maana huu usingizi nahisi ni saa 9 usiku๐ข
Mzee hayo mazoezi isijee kuwa ni juu ya mtu๐Good morning Mkuu ๐ค
Muda huo nilikuwa nimeamka tayari kufanya morning walk, maana Profesa Janabi anatusisitiza Wazee kufanya mazoezi walau Kila Siku japo ya kutembea ๐๏ธ
Vinginevyo hatutaifaidi pension yetu ๐
Hahaha, Kuna mzee ali Sema samaki mtulivu, hakamatwi kirahisiNiko kiduka cha mangi na zimua , kuna mdada kaja kavaa dela tu ndani hakuna kitu..dah kaamsha mashetani yote
na Nina mito 4 kabisa๐, ila usingizi sio favorite recipe yangu๐Hivi huwa unalala saa ngapi wewe ? Kha๐
Hahahahahaha imebidi nimwambie hayo mayai nitalipa ..umependeza sana..Hahaha, Kuna mzee ali Sema samaki mtulivu, hakamatwi kirahisi
๐คฃ๐๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃNiko kiduka cha mangi na zimua , kuna mdada kaja kavaa dela tu ndani hakuna kitu..dah kaamsha mashetani yote