JamiiForums Usiku wa manane

Unaona sifa kutokulala , inashauriwa kupumzisha fuvu masaa yasiopungua 8, mimi ikifika saa 4 usiku macho yanafunga kabisaπŸ˜€
Uli sema watu Waki oana dozi ni kila saa, kwa style hii SI uta fukuzwa mapemaπŸ˜€πŸ€£.

kingine Bora Sasa hivi, udogoni hata lile wazo la kulala, nilikuwa Sina.
So nili Soma vitabu na kuangalia movie kwa speed nzito πŸ˜€πŸ˜€.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…