JamiiForums Usiku wa manane

Chaaaaaa, ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚ hapana sio mimi
 
Disk Joker anawauliza mnauza nini , wanaitikia wanauza K,
Eti wanaume mnataka nini , wanaitikia wanataka K,
Wanawake mnataka nini, wanajibu wanataka pesa.
DJ wao ana promote sana umalaya.
Mishoga pia ipo pale
Nili kaaga dk 10 Nika ondoka, mahali hapo ukiwa na mtu wa heshima lazima mzinguane.
 
Hapana mzee, familia yangu haito wahi kugusa siasa kabisa.

Labda science, biashara na umiliki wa kampuni basi
 
We huelewi kumbe, tusije kuta hiyo financial services ni chuma ulete๐Ÿคฃ.

Una sawazishwa, mpaka una omba nafasi milembe hospital ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ