JamiiForums Usiku wa manane

Mzee Grahams Leo nime amini kumiliki mradi au biashara Kama familia au ndugu ni kazi nzito.

Sisi Ngozi nyeusi sijui tuna shida gani.
Ukisoma paper za wenzetu waliokwisha fanyia research wanasema kati ya biashara 7 kati ya 10 za joint venture huwa hazidumu baada ya kuanzishwa kwake.

Na kwetu huku Bongoland hali ni mbaya zaidi maana ndugu wengi huwa wana-prefer wauze hizo Mali/biashara ili Kila mmoja afe na chake

Kama tayari umeshaona mwanga kwenye hiyo biashara bora mgawane then wewe uanze from the scratch hata kama utalazimika kwenda Benki kupigwa tafu kwenye Mtaji
 
Yaani jitu Lina wi-fi, chakula chochote, mfanyakazi- wa nyumbani.
Vifurushi vya ving'amuzi ana lipiwa

Bima yake IPO humo humo, safari zake Zina dhaminiwa, bado ana lipwa akiwa nyumbani.
Halafu bado ana kuja kukuchanganya kichwa,

Aisee na Mimi Hilo nime liona, Huku kuji fanya akili kubwa na kuji tolea kupita kiasi, kuta kuja kufanya mtoeane Roho.
 
Nani huyo πŸ˜‚πŸ˜πŸ€£πŸ˜πŸ˜
 
Inakulazimu kuwa makini Mkuu

Kwenye Mali za familia huwachelewi kukutanguliza mavumbini wakikuona kikwazo
 
Inakulazimu kuwa makini Mkuu

Kwenye Mali za familia huwachelewi kukutanguliza mavumbini wakikuona kikwazo
Jana nime shangaa Sana, nili wahi jitoa ili nipate stack yangu tu, pasipo kuhusika na chochote.

kurudi nakuta hasara kubwa, hakuna anaye elewa kinacho endelea.
yaani numbers zipo, ila ni madeni tu na sio fedha cash.

Ika bidi ni separate majukumu ya kila mmoja, Sasa Jana naletewa ki mtu Eti nacho kiwe sehemu ya mtu.
Plus kina pewa majukumu ya mtu mwingine ambaye ni muhimu sana.
 
Try to handle it carefully, otherwise itabaki historia kwamba you used to own this and that πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…