Asante love,ndo maisha yenyewePole kwa majukumu
Sister shkamoo, upo mtoko? Ni sehemu gn kwa Green city patamu leo Ijumaa?Nipo mpenz,,,,uko poa cute?
Marahaba mtotoβ¦.huwa sitoki out mdogo wanguSister shkamoo, upo mtoko? Ni sehemu gn kwa Green city patamu leo Ijumaa?
Salamu imepiga limoyo dada nusu nibubujikwee.. sitaki kupoa lakin whyWe mdada,uko poa?
π€£π€£π€£π€£kumbe nimekushtuaπ₯΄Salamu imepiga limoyo dada nusu nibubujikwee.. sitaki kupoa lakin why
Weeee serikalini wanaambiana(ga) hongera na majukumu sio polePole kwa majukumu
π³jamani,mbona mkorofi ivoπ€Weeee serikalini wanaambiana(ga) hongera na majukumu sio pole
Sio kunishtua tu imekuja na nderemo. π€£π€£π€£π€£ yule mlinzi anakuficha hadi hatupendi sasaπ€£π€£π€£π€£kumbe nimekushtuaπ₯΄
π€£π€£π€£π€£ no kupoaaπ³jamani,mbona mkorofi ivoπ€
Sina undugu na mabakuli mimiππππ mimi sikuheshimu tena
Kumbe hidaya nduguyo, ugomvi wa ndugu sio wakuuamini sana wewe na hidaya nduguyo fakinπ
Sina undugu na mabakuli mimiππππ mimi sikuheshimu tena
Kumbe hidaya nduguyo, ugomvi wa ndugu sio wakuuamini sana wewe na hidaya nduguyo fakinπ
Ndio maana anaomba omba vocha inboxNaona unamchapa spana mabakuli, mabakuli huwa ni mbea sana na anapigaga umbea sana na mademu
ππππππππππππ₯΄Ndio maana anaomba omba vocha inbox
Niunge bando la mwezi basπMabosi hawakopi bando za buku buku
Chitaki si ulinipiga chini wewe yaani mimi WA kujipiga msasa na wewe unashangilia ππ ππππNiunge bando la mwezi basπ
Nimetoka kupiga pia bhana nikisindikizwa na ile ya aslay na kungwiπβ¦.utajijuπChitaki si ulinipiga chini wewe yaani mimi WA kujipiga msasa na wewe unashangilia ππ ππππ