Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
haujuiiHuu uzi mbona haupoi siku hizi una nini kipyaππππ
Kwa NiniKama ni huyu mkuu ni Mungu sio mungu
Huu ubuyu vipiπ³π€£11:52 PM Unajiita kigogo na unakaa kwenu π€£π kazi una pesa una bando una kopa na kuomba omba na bado una sifa ya umbea umbeya yaani unaenda inbox na kuomba pesa Tena ya mtoto wa kike π€£πππππππππππππππ
Sana yaani afu una kuja na mvua πHuu upepo unatisha ππ
Sana yaani afu una kuja na mvu
Aiseeeeπ©π©π©π©π©π©π©Sana yaani afu una kuja na mvua π
Powaaa rafiki yangu upo gudiVincenzo Jr mambo,?
Wapi huko? Usikute Miss Hidaya ndio anaingiaππHuu upepo unatisha ππ
Nko poa alhamdullilah, mabakuli ni nani?Powaaa rafiki yangu upo gudi