Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Zipo nyingi.Dawa ya kwikwi ndugu
Ngoja nijaribu hii ya sukari...Zipo nyingi.
Kunywa maziwa glasi kwa kubugia
Au weka sukari chini ya ulimi
Au mtu akushtue ushtuke haswa
Au kunywa maji mengiau bana pumzi kwa sec kadhaa
JaribuuNgoja nijaribu hii ya sukari...
Maji nimekunywa ya kutosha ila wapi.....
Nipo salama dear x😁😁😎😎Niko poa…vp Dear X?
Wapi huko mnakotengeneza machozi??jobless nilikuwa Hapa Jana, hatimae Leo nime fika. Vishu Mtata View attachment 2985637
Si una elewa majobless pro max.
View attachment 2985638
pande fulani hivi, sema ni zangu jobless pro max 😆🤣.Wapi huko mnakotengeneza machozi??
Kama umepata tenda ya kupakia hizo gunia kongole kwako mkuu, hapo hukosi buku 5 kwa hizo gunia zote.
Ziba pua na mdomo hesabu Moja hadi 10 kwa kichwa itaacha au tumia kijiko kimoja cha sukari MkuuDawa ya kwikwi ndugu
🥸😋Nipo salama dear x😁😁😎😎