SafiTunajadili jinsi ya kwenda sayari ya Mars mkuu
Siunajua stimu zimelipiwaSafi
Mkuu Kuna majini muda huuNajaribu kuzunguka zunguka kwenye hili lindo; naweza kubahatisha kabinti aliyepotea ili tukeshe naye hapa kijiweni kwa mangi
ππππNajaribu kuzunguka zunguka kwenye hili lindo; naweza kubahatisha kabinti aliyepotea ili tukeshe naye hapa kijiweni kwa mangi
Chaka gani kakaYoooh [emoji481][emoji481]
Mkuu ukifanikiwa wawili nishtue aise, siku nzito hii.Najaribu kuzunguka zunguka kwenye hili lindo; naweza kubahatisha kabinti aliyepotea ili tukeshe naye hapa kijiweni kwa mangi
Sema saad uko poa?? Yani wewe kila siku unabadili jina khaaa!!
Umenifananisha mamii.Sema saad uko poa?? Yani wewe kila siku unabadili jina khaaa!!
Ni wewe πππUmenifananisha mamii.
Vipi unafanya maombi au unalamba limao?
Wee omba sana siku moja Na wewe utaombwa ujueNi wewe πππ
Nasubiria mida nifanye maombi, si unajua wengine tunavyopenda maombi