Intelligent businessman ndugu yangu wa damu. Fanya mpango apatikane. Kwasasa mm naendelea na autopsy
Bora Mzee anajipa raha, maisha ndiyo hayahaya... Raha jipe mwenyewe.View attachment 3021058
Uko ni saa ngapi ?? wakuu
Miss you.Bora Mzee anajipa raha, maisha ndiyo hayahaya... Raha jipe mwenyewe.
1:36
HahahaBora Mzee anajipa raha, maisha ndiyo hayahaya... Raha jipe mwenyewe.
1:36
I miss you more Steve πMiss you.
Nini kinakuweka macho mpaka majira haya, Bantu?I miss you more Steve [emoji8]
Huu muda mzuri wa kusali. Nimeamka nisali, narudi kulala tena. Wewe je?Nini kinakuweka macho mpaka majira haya, Bantu?
MeditationHuu muda mzuri wa kusali. Nimeamka nisali, narudi kulala tena. Wewe je?
Kavuta mafao yake?View attachment 3021058
Uko ni saa ngapi ?? wakuu
Ndo maanakeKavuta mafao yake?
Vzr sanaHuu muda mzuri wa kusali. Nimeamka nisali, narudi kulala tena. Wewe je?
Hata siku moja. Nimeshtuka saa 12:00 mpaka muda huu nawaza na kuwazua πMadeni ni hapatani na usingizi saa 02:45
Sijui kimemkuta nnIntelligent businessman ndugu yangu wa damu. Fanya mpango apatikane. Kwasasa mm naendelea na autopsy
Kwenye mitandao kunasababisha mambo ambayo muda mwingine unahitaji mapumzikoSijui kimemkuta nn