SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Wewe mlinzi hi01:01
Mbeya
karibu kwenye lindoWewe mlinzi hi
Sasa wewe unaang'aza macho humu uaanacha geiti linalokupa mlokaribu kwenye lindo
nalinda wavamiz wasiingie humu jfSasa wewe unaang'aza macho humu uaanacha geiti linalokupa mlo
That is normal humu hakunaga shida utapata ukitafutachonalinda wavamiz wasiingie humu jf
Eti karibu DMKaribu dm
Acha kaka.naona usiku mrefu kinyamaa.kuliko dar.au ndo ugeni?yaani nimelala tena lakini wapi ndo kwanza saa 02:18 yaani hapa naomba asubuhi ifike tuUko sahihi kabisa mkuu,kuna siku nilikuwa pale Maunganui,Nana hotel...... nikalala saa 12 jioni hivi,kushtuka nikajua asubuhi kumbe saa tano usiku
Cheki muda00:16
Lala hukoAcha kaka.naona usiku mrefu kinyamaa.kuliko dar.au ndo ugeni?yaani nimelala tena lakini wapi ndo kwanza saa 02:18 yaani hapa naomba asubuhi ifike tu
Badooo02:45
Tulale wapibora yenu nyie mmelala