Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Ahaa kumbe wadhaminiSamaleko tajiri.
Hope urassa unapitaje kimya kimya humu bila kusalimia wadhamini🤣🤣🤣
Tunaoenda ibadani tunaenda kujiandaa sasa mbakie nyie kina nanilii sasa0400
Angalia mkubwa napokanyaga upitemo. 🤣🤣Ahaa kumbe wadhamini
Najuaje mimi hayo?
0401+
ndugu acha kabisa nimelala na huyu mtu nimemsukuma mpaka chini ya kitanda nilikua naota kma anataka kunizulu mkuu nimepiga mayowe mpaka naogopa mwenyeweNdo kilichokuamsha🤣🤭🤭mbona mapema sana
Maajabu kumi ya ulimwengu wa saba Fake Pndugu acha kabisa nimelala na huyu mtu nimemsukuma mpaka chini ya kitanda nilikua naota kma anataka kunizulu mkuu nimepiga mayowe mpaka naogopa mwenyewe
Hii Kigoma nini???0030