Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Mwili wangu umeshazoea kuamka saa 10hatulali ?ephen
Mambo ππ€£πMwili wangu umeshazoea kuamka saa 10
Muda huu lazima niwe macho labda saa 12 ndio nirudi kulala
Poa Vincenzo ake!Mambo ππ€£π
Twende kazini ππPoa Vincenzo ake!
Duh unalala saizi Mimi sipendi usingiziMimi ndio narudi kulala
Safi sanaMimi ndio narudi kulala
Mimi ni jobless mwenzakoTwende kazini ππ
Usingizi mbona ni mtamu tuDuh unalala saizi Mimi sipendi usingizi