Nipo
Hee wewe ni nani kwanza? baby yupi tena?hehehesikuhizi mmepoaaaa mpka si poa sijui ni upepo gani ulipita kipindi nipo off, wakati miez mi3 nyuma mda kama huu ilikua ni mwendo wa vijembe na mahaba ndi ndindi kutoka kwa To yeye na Shadow7 ,,, eniweiiii nimewamithi sanaa,, mdogo wangu Hope urassa I see yu,, msalimie yule bebi wakoπππ
Angalia xxx kama usiku huu. ππππππMm nachezea simu