mshamba_mwingine
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 1,057
- 4,145
shukraniPole sana
Wadau wanazid kuishapamepoa siku hizi
golden days za jf zishapita, hii tuliyoizoea haina vibeWadau wanazid kuisha
Au watu wapo vijijini kuvuna mazao, hakuna internetgolden days za jf zishapita, hii tuliyoizoea haina vibe
sasa hapo ndo nnapojaribu kuwaza, pananishindaAu watu wapo vijijini kuvuna mazao, hakuna internet
Mimi nitaendelea na huu uzi, maana nyingine zinatrend na kupoa ila hii mwendo ni uleulesasa hapo ndo nnapojaribu kuwaza, pananishinda