Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Mbona mapema
Saa ngap mkuu?
7:45pmSaa ngap mkuu?
Oooh sawa7:45pm
Najiskia vibaya sana na hili baridi Leo πMbona mapema
2 kakaVincenzo Jr mmeshinda ngap
Nzuri hiyo mkuu2 kaka
Shukrani sana ndugu tukutane mwezi wa 10Nzuri hiyo mkuu
Mno mkuuShukrani sana ndugu tukutane mwezi wa 10
Asante
Msalimie nduguyo kutoka kaskazi mwa jangwa la TanzaniaAsante
Kula kongoro ya ngombe na ndizi za kuchemsha ,pilipili nyingi na safari baridi ,mda mwingne mkuuπππππ
Nimeacha pombe Mimi niliumwa hadi nikatoa damu puani kongoro mbona nakulaga kaka Tena umenikumbusha kesho nayapika kwenye pressure kuka Cc ephen_Kula kongoro ya ngombe na ndizi za kuchemsha ,pilipili nyingi na safari baridi ,mda mwingne mkuuπππππ
Umetimia mwezi kaka sijagusaAcha kama inakusumbua bro