Hapa hamnaga story khaaaKutembelea-tembelea thread nyingi nao ni umalaya, Tulieni hapa
Genius Man
Pendaelli
Cassnzoba
kipanga85
Fake P
min -me
Vincenzo Jr
Fabian Vitus
Huwa wananifurahisha kwa kutaja mda tu,hawana mambo mengiHapa hamnaga story khaaa
Kwamba wa mwisho Ndo mshindiHuwa wananifurahisha kwa kutaja mda tu,hawana mambo mengi
Kuna mwamba mmoja niliona kakesha kwa kutaja kila saa,sijui ni mlinzi yuleππKwamba wa mwisho Ndo mshindi
Hapa kuna macomrade, hakuna wavaa makubaziHapa hamnaga story khaaa
Afu ukute mchana yupo online na usiku nao daah aiseeKuna mwamba mmoja niliona kakesha kwa kutaja kila saa,sijui ni mlinzi yuleππ
Hii nayo kazi ujueAfu ukute mchana yupo online na usiku nao daah aisee
Wapo kibao tena wakali kuliko wote humu πRayns nyie wenyeji hakuna mademu humu?
πππ
Una ntu ?0013 Maingate
Unademaje dikuelewi. MimiUna ntu ?
Kuna watu tumezidiwa uzuri na hiki kimbwa.......