Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Astaghafirullah π π€£ π
Mapazia yamemsalitiAstaghafirullah π π€£ π
π€£ππMapazia yamemsaliti
2:10 AMNimekumisss too Dr mchongo. Wa kigambon
Kumbe jiraniAje kigamboni hapa tunywe supu ya kongoro na Serengeti laga
Nipo nasoma nyuzi tu hapa za wanajukwaaNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!