Inaonekana ni mdada wa kihindi ujue hadi nimeogpa wasije wakawa majjni mkuuPokea tu bro
Movie nimepiga chini hua napenda nyimbo za wakongo at least zinanipa kampanTafuta movie ulio wahi angalia ikakuvutia na kusisimua uirejeee uta enjoy naamini
Aisee,Nimejaribu wapi ,Yanga kachana mkeka wangu sina hamu.Pole bro, muhimu focus kwenye paa positive issues utapata usingizi
We jamaa hapa nimeshtushwa na video call ya mtu nisyemjua telegramMovie nimepiga chini hua napenda nyimbo za wakongo at least zinanipa kampan
Tatizo mi nikipiga maji siku ya pili nakua kama naumwa hivi ndo maana nategezea ijumaa jioni au jmos ndo nalipukaKushtua utumbo kidogo,Kuamka Asubuh na mapema ni sheria
Inaonekana unakiwasha mzee.Tatizo mi nikipiga maji siku ya pili nakua kama naumwa hivi ndo maana nategezea ijumaa jioni au jmos ndo nalipuka
Hao umekutana nao kwenye magroup ya telegram wanakuaga wasumbufu, binafsi Kuna jamaangu aliniadd kwenye group la mambo ya crypto nlipata usumbufu mwingiWe jamaa hapa nimeshtushwa na video call ya mtu nisyemjua telegram
Kiasi tu mda mwingine hivi vichwa bila kureset mambo hayaendiInaonekana unakiwasha mzee.
Nashangaa video call jina tapan mistri picha ya mdada nimekerekaaa wakati usingizi ulikuwa unaanza kujaHao umekutana nao kwenye magroup ya telegram wanakuaga wasumbufu, binafsi Kuna jamaangu aliniadd kwenye group la mambo ya crypto nlipata usumbufu mwingi
Kabisa mkuu.Kiasi tu mda mwingine hivi vichwa bila kureset mambo hayaendi
Daah!Aisee,Nimejaribu wapi ,Yanga kachana mkeka wangu sina hamu.
Bora nimgemtumia bibi akatambia wazee wenzake huko angenitemea mate nikapata baraka.
Usingizi ukishaanza kua adimu mchana unakua unachoka mapema fanya maarifa ulaleNashangaa video call jina tapan mistri picha ya mdada nimekerekaaa wakati usingizi ulikuwa unaanza kuja
Itanibidi nilale tuUsingizi ukishaanza kua adimu mchana unakua unachoka mapema fanya maarifa ulale
Sema tu wanakuwaga ni matapeli ila majini hio ni dhana. Jini atapata wapi simu vocha na chaji atakuwa anachajia wapi?Inaonekana ni mdada wa kihindi ujue hadi nimeogpa wasije wakawa majjni mkuu
Mi movie haijawi kuniangisha.Movie nimepiga chini hua napenda nyimbo za wakongo at least zinanipa kampan
Aaah ndo hapo sasa nimebofya decline juu kwa juuSema tu wanakuwaga ni matapeli ila majini hio ni dhana. Jini atapata wapi simu vocha na chaji atakuwa anachajia wapi?
Tupoo mkuu01:02
Tutazoea Mkuu,tushazoea yanga anatoa goli 3+ sasa leo bwanaaa.Daah!
Hapo kwa kweli pole ndugu yangu, but ni nyakati tu huwa hazilingani utakuwa sawa tu.
Kwenye movie kinachonishinda ni ile kufocus 40Min++Mi movie haijawi kuniangisha.
Hata nyimbo zina saidia kwa kiasi chake.