Tupo poa Allah subhana wa taala anatuwezesha.10:58 Natumai wote mko poa
Tupo nyuma ya Bongo 1hour01:02 Lusaka Zambia
Mapema sana!2001+
🤣🤣🤣🤣🤣Kuwa tajiri ni kazi, mtu hupati usingizi kabisa.....bora yenu nyie masikini mnasinzia.
3:11 sijafumba jicho 😔
Bro binti kiziwi unaota??