Teonas Aswile
Member
- Apr 30, 2024
- 37
- 142
Hesabu zipi?Mmelala hebu mje mnisaidie hesabu hapa😃
Nenda na kyJamani mke wa boss ameniita chumbani kwake na huku getini inatakiwa niwepo ili nilinde usalama wa mke wa boss na familia kwa ujumla na mzee boss yupo dodoma ,sijui nilitaka kusema nini!
It shall be well man...Kazi ya ulinzi Ni ngumu, hasa ulinzi wa usiku nyumbani kwa mnyakyusa
Nimeshapambana mkuu mnalala sana limebaki swali mojaHesabu zipi?
Ni za form 4 au 6?Nimeshapambana mkuu mnalala sana limebaki swali moja
😃Ngoja nikutumie swali ila usicheke kwann sijui hesabuNi za form 4 au 6?
Tuma nione😃Ngoja nikutumie swali ila usicheke kwann sijui hesabu
Nipooo.. Nimejaa tele😂😂😂Ulipotea mno mh! heri lakini?
Kwa jirani kumepamba moto siyKwa jirani kuna kigodoro Dj anarimoti ya using izo wangu kazi iPod