Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
hatari usingizi sio mzuri eti pmNow🤣
Karibu sana jukwaa linafunguliw saa sita usiku mpaka majogoo...Wazee wa kukesha night kali mnikaribishe humu ndani basi mimi ni mgeni kwenye hii thread
Apa nashushiaa n Moja baridi kamziki kwa mbaliNipo Amer hapa saizi napunguza stress za life kudadadeki