Jirani yangu.
Wee mdada nakupenda.Matajiri mko wapi 03:14 am
Ahsante dear wangu kwa upendo.....πWee mdada nakupenda.
Umeongea kiume sana jirani!! Hadi nimeogopa ujueWee mdada nakupenda.
Ni kweli nampenda,Umeongea kiume sana jirani!! Hadi nimeogopa ujue
Sawa jiran jf inamambo mengi π π πNi kweli nampenda,
She is cool.
Ila ni upendo tu wa binadamu kwa binadamu mwenzie nothing else usiogope jirani
Nahisi unanihisi vibaya jirani.Sawa jiran jf inamambo mengi π π π
Nimeelewa jirani π€π€Nahisi unanihisi vibaya jirani.
Mi sina mambo hayo jirani Iam very straight
Oyaaa weeh
Shule inaendeleaje
Boss ilikuwa mida ya wanga hiyoππ
πππlindo liko salama chini yako mkuu
Tumejaa tele umemaliza chuo?