JamiiForums Usiku wa manane

siku nyingi sana kaka. Nipo sleepy ile mbaya ila lazma nikuulize ulitorokea wapi au kuna new ID 😁
Hahaha, majukumu yali kuwa mengi, lakini pia nili pata ajali kidogo.

Ila I'm back kaka, Kuna siku nili muona favorite girl wako g. Dimack nika kukumbuka πŸ˜‚πŸ˜ƒ
 
naelewa harakati kaka na pole pia kwa ajali.

Dimack nishawahi muona one time kwa hiyo hongera pia kwa kusafisha macho. Ngoja nikuache nipumzishe hichi kichwa

Nimefurahi sana kukuona brother, tutaongea zaidi kesho mkuu.

Lindo jema
 
pamoja Sana kaka, pumzika kesho nayo ni siku.
Kikubwa kheri ita wale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…