Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
kumekuchaAmen bro ππ½ππ½
Mapema sana. Ngoja tukatesekekumekucha
niko gado kabisa, Nuru iko namiSalama mkuu, umeamkaje?
kaka msiwe mna amka na anthem hii, ita waharibia siku Kama Kuna dosari ita tokea.Mapema sana. Ngoja tukateseke
Tukutane lindoni...niko gado kabisa, Nuru iko nami
Meja bora ukae kimya tu, ma kuruti wana kuona miyeyushoππTukutane lindoni...
Leo silaha nitagawa mwenyewe. Wambie kuruti wawahi mapema amaraMeja bora ukae kimya tu, ma kuruti wana kuona miyeyushoππ
Sipi negative, ni neno tu brother. Usiwaze ila shukrani kwa reminder ππ½kaka msiwe mna amka na anthem hii, ita waharibia siku Kama Kuna dosari ita tokea.
just say muda wa ku hustle or another battling day.
Ina ka u positivity ndani yake.
Barikiwa pia kaka.Sipi negative, ni neno tu brother. Usiwaze ila shukrani kwa reminder ππ½
Sisi ma jobless tujibu nini ππMungu azibariki kazi za mikono yenu Wana LINDO
Meja Shadow7 Bora unge kaa kimya, maana ma kuruti wana sema hawata kupa salute ππLeo silaha nitagawa mwenyewe. Wambie kuruti wawahi mapema amara