makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
Tanga wana mambo ya ajabu sana....eti02:53
RAHA LEO YA TANGA
USIPANDE SIMBA MTOTO!
Tanga Rahaaa!Tanga wana mambo ya ajabu sana....eti
Mamboleo
Raha leo
Simbamtoto
Bembea..
Slow but sure Tanga.
Hahaha raisi wa ma jobless pro max , nipo kijana😂😆Rais leo kakamatika Intelligent businessman
Una kaa Tanga mkuu??02:58
SIYE WATU WA TANGA HATUNA HARAKA
LABDA HARAKA UJE NAYO WEWE TAJIRI!
RACTOO
Hapana mkuuUna mtoto?
Ndio Nyumbani RaissUna kaa Tanga mkuu??
Kaka mi kuoa ni Tanga, tabora au somaliaTanga wana mambo ya ajabu sana....eti
Mamboleo
Raha leo
Simbamtoto
Bembea..
Slow but sure Tanga.
Safi Sana, nili tembelea hapo 2023.Ndio Nyumbani Raiss
Kwa Sasa Nipo Kwenye Jiji la Chalamila
Watoto wa TangaaKaka mi kuoa ni Tanga, tabora au somalia
Endelea kuamini kwenye chama chanma jobless pro max 😂 😁.03:00
TANROAD NJOMBE WAMENINYIMA KAZI RAIS WA MAJOBLESS PROMAX