Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Naam hapa uko sahihi04:13 AM
Nyie wote ni kuruti 🏃Mimi na wewe nani kuruta??
Wacha nipate chai aisee.Bado nafanya kazi mkuu...
Hamna siku uliyo last Hadi 05:50 humu, mimi ni 10× champion😂😂.Nyie wote ni kuruti 🏃
Pamoja kiongozi...Wacha nipate chai aisee.
Lala mkuu asubuhi shule..Nyie wote ni kuruti 🏃
Hatujafungua bado mkuu 🙄Lala mkuu asubuhi shule..
Kimbia kama mwizi aliekoswa, acha mara 1Sina mkuu
Nikimbie wapi sasaKimbia kama mwizi aliekoswa, acha mara 1
Mbona mapema hivyo Dahan !Nawatakia majukumu mema, wengine usiku mwema🥂
Pole Sana ewe nusu albino 😆
Pole nina msiba?Pole Sana ewe nusu albino 😆