JamiiForums Usiku wa manane

Huyu anachagua sana
Ulitaka mwenzako anizalishe anikimbie k7wa na akili usipende kumpangilia mtu maisha yake na humjui mnakaa kikao eti mimi wa kuzalishwa na mkaende kuoa kwingine acheni upuuzi maisha yangu si yenu kama kuolewa wewe sio mungu . Halafu jf ni nyie tu mnastress za maisha
 
Nisamehe sana ndugu yangu, ni kweli kwamba nakuonea sana, nimekugeuza mnyonge wangu.

Naahidi kuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…