Njoo na soda fantaNdio na mda sio tutakufikia ulipo.
Utakuwa na hela sana wewe, bajaj unapak wap mkuu?03:45 mkutano bado unaendelea
Mbezi beach kwa zena
Nipo, muda huo nili kuwa nakunywa tangawizi na kutazama filamu ya Scarface
Dah, nilitazama Scarface zamani sana...Kina Tony Montana au sio...Nipo, muda huo nili kuwa nakunywa tangawizi na kutazama filamu ya Scarface
Nina list ya movie za kitambo, na wali kuwa vizuri.Dah, nilitazama Scarface zamani sana...Kina Tony Montana au sio...