JamiiForums Usiku wa manane

Hivyo vijiwe vya town sio vya kukaa wamejaa mashushu wa nchi hii
 
babe huna usingizi leo nimepita pita nikaona uzi upo trend alafu nikakukuta wewe mrembo😊
Leo weekend, ndiyo kwanza kumekucha. Na huu ndiyo uzi wa nyumbani. Mzima lakini, sijui babe wangu Kiki umemfukuzia wapi.
 
secretarybird unacheka nini? Muome πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Halafu kabla ya ID hii ulikuwa unatumia ipi? Maana kuna ID kama 5 nilijua zote za mtu mmoja, maana sizielewi ikiwemo hii yako.
Wanaume mnabadili ID kwasababu gani? Au mmeunganisha mabehewa humu? 😁😁😁😁😁
 
Wana minyororo... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Maana ukisema cheni itaonekana ni fupiπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamani twendeni tukachukie pesa, tujiite Mapopo ya Mama πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹
 
ID yangu ya zamani sitaitaja maana imefanya mambo makubwa na ya ajabu ajabuπŸ˜€
 
Wana minyororo... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Maana ukisema cheni itaonekana ni fupiπŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe unajua hilo mdogo wangu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hawa vijana ni hatari sana. Mbaya wanabadili ID, wanarudi kwenye usajili upya kabisa aah dah 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kumbe unajua hilo mdogo wangu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hawa vijana ni hatari sana. Mbaya wanabadili ID, wanarudi kwenye usajili upya kabisa aah dah 🀣🀣🀣🀣🀣
Tatizo kubadili mwandiko wanasahauπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…