Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
Kitu ambacho nimeuza ni duka langu alafu Mimi nikawa dalali mwenyeweVingine umeuza auπ
Hongera sana aseeππKitu ambacho nimeuza ni duka langu alafu Mimi nikawa dalali mwenyewe
Nina kanisa tayari mkuuHuu ndio Muda WA kufungua kanisa sasa
Hatari saaaana mkuu.Hongera sana aseeππ
Sio kanisa sema nyumba ya ibadaNina kanisa tayari mkuu
Nakuomba upumzike sasaKisingekuwepo kifo... πΌπ§
02:23
Ni nzuri, nimeipenda na inanitesa.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ pole sana, ya nini sasa jamani π
Naona unamskiliza Jay kombatiKisingekuwepo kifo... πΌπ§
02:23
π€£π€£π€£π€£π₯π₯π₯π₯Nakuomba upumzike sasa
Wewe kama huna hips na furushi sijui kwakweli mana jina lako lipo kimkakati kabisaKisingekuwepo kifo... πΌπ§
02:23
Kwa kua kesho weekend si ndio eenh au night shiftπ€£π€£π€£π€£π₯π₯π₯π₯
Huwa hatulali tukianza, ni mapopp ππππ
Yaani singeli ni nzuri sana. Unajikuta umo aina hii ya muziki itamshika kila mtu. Mimi nimeanza na kujifunza kuicheza π π π π πNaona unamskiliza Jay kombati
Hahahahhahaha utacheza kama kambale maji yakimwagwa?Yaani singeli ni nzuri sana. Unajikuta umo aina hii ya muziki itamshika kila mtu. Mimi nimeanza na kujifunza kuicheza π π π π π
Mkuu naona Maisha ya single ni bariiidi kabisa.Unasubiri tamko la mahakama Tu.Laleni vijana
Tunawalinda πππππLaleni vijana